MEXICANA LACAVELA KUJA NA BIASHARA!!!!

MEXICANA LACAVELA KUJA NA BIASHARA!!!!

Like
583
0
Wednesday, 04 March 2015
Entertanment

Kutoka kwenye kundi lililowahi kufanya vizuri Mexcana Lacavela na baadae kuvunjika kimya hivi karibuni kumekuwapo na tetesi za kuwa kundi hilo limerudi tena kwa kuwakutanisha member wake kwenye wimbo mmoja uliopewa jina la biashara ambao kwa mujibu wa vyanzo vya habari wimbo huo umetayarishwa na producer Mr T touch.

Swali linalokuja kimsingi tumezoea kusikia kazi za kundi hilo zikifanywa na producer Messsen kwa nini kazi hii imefanywa na Mr T, Je kuna tatizo kati yao na producer Messen au wameamua kuja kivingine

Comments are closed.