MKAMBA KISALAWE KUPATIWA MAJI SAFI NA SALAMA

MKAMBA KISALAWE KUPATIWA MAJI SAFI NA SALAMA

Like
332
0
Wednesday, 12 November 2014
Local News

Kilio cha mda mrefu kwa wakazi wa mtaa wa mkamba kisarawe 2 Wilaya ya Temeke hatimaye sasa hivi kimesikika kwa kupata msaada wa mradi wa maji safi ya bomba, Ila hapo awali walikuwa wanakunywa maji ya madibwi kwa mda mrefu na maji hayo yalikuwa yanapatikana umbali zaidi ya kilomita moja kutoka maeneo wanayoishi.

Mwenyekiti wa mkamba HUSEN SALEH anaelezea zaidi

Wakina mama wa mtaa huo wa mkamba RAMLA KASIMU na MWAJUMA HUSSEN wanaelezea..

 

Comments are closed.