MKANDA WA NGONO WA USHER RAYMOND WAUZWA KWA SIRI

MKANDA WA NGONO WA USHER RAYMOND WAUZWA KWA SIRI

Like
761
0
Wednesday, 12 November 2014
Entertanment

Mkanda wa ngono wa msanii Ushermwa Raymond umeanza kuuzwa kwa siri na mtu asiefahamika kitendo ambacho kitamuweka katika wakati mgumu mtu huyo iwapo atagundulika ikiwemo kutumikia kifungo jela kwa kuiba na kuuza mkanda huo ambao ni mali ya Usher Raymond

 

Mwaka 2010 kuna mtu alivunja gari la Usher huko ATL nakuiba laptop mbili, video camera mbili na mali nyingine zilizokuwemo

Baada ya miaka michache kupita sasa mkanda huo ulimshirikisha Usher na mkewe Tameka uliokuwa kwenye moja ya laptop umeanza kuuzwa kwa siri

 

Mkanda huo ambao wengi wa watu wanaonunua mikanda ya ngono huko America wanauogopa hata kuugusa kufuatia utata wa mwanasheria wa Usher umekuwa ukiuzwa kwa njia ya mtandao

usha temeka

Comments are closed.