MRADI WA MAJI WAMI-CHALINZE KUANZA MWEZI MACHI

MRADI WA MAJI WAMI-CHALINZE KUANZA MWEZI MACHI

Like
297
0
Friday, 16 January 2015
Local News

WIZARA ya Maji Mjini Kibaha inatarajia kuanza mradi wa Maji wa Wami-Chalinze awamu ya tatu ifikapo mwezi Machi mwaka huu.

Wizara hiyo imesema mradi huo unatarajia kugharimu shilingi Bilioni 60 mpaka utakapokamilika.

Meneja wa Mamlaka ya Maji Chalinze (CHALIWASA), Christer Mchomba, amesema awamu hiyo itaongeza mitandao ya maji kwenye vitongoji 210 kutoka kwenye vijiji 47.

 

Comments are closed.