MSAFARA WA KIJESHI WASHAMBULIWA NA WATU WASIOJULIKANA MALI

MSAFARA WA KIJESHI WASHAMBULIWA NA WATU WASIOJULIKANA MALI

Like
233
0
Monday, 26 January 2015
Global News

RIPOTI kutoka nchini Mali zinasema kuwa watu wasiojulikana wameshambulia msafara wa kijeshi karibu na mji wa Timbuktu.

Shambulizi hilo linajiri wakati ambapo kiwango cha mashambulizi kimeongezeka siku za hivi majuzi.

Wiki iliyopita watu waliokuwa na silaha waliishambulia kambi moja ya umoja wa mataifa na kumuua mlinda amani mmoja kutoka Chad.

 

Comments are closed.