WATOTO WA HOSNI MUBARAK WAACHILIWA HURU

WATOTO WA HOSNI MUBARAK WAACHILIWA HURU

Like
233
0
Monday, 26 January 2015
Global News

 

WATOTO wawili wa aliyekuwa Rais wa Misri Hosni Mubarak wameachiliwa kutoka jela, miaka minne baada ya kukamatwa na kuzuiliwa kwa pamoja na baba yao.

Wakuu wa gereza wanasema kuwa Gamal na Alaa Mubarak wote wafanyabiashara maarufu wameachiliwa mapema leo Jumatatu.

HOSNI MU

Hosni Mubarak

Juma lililopita mahakama iliamuru kuachiliwa kwao huku kesi dhidi yao kuhusu ufisadi na ubadhirifu wa mali ya umma, ikiendelea.

 

Comments are closed.