MSANII YP WA TMK WANAUME FAMILY HATUNAE TENA

MSANII YP WA TMK WANAUME FAMILY HATUNAE TENA

Like
1119
0
Tuesday, 21 October 2014
Entertanment

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Yessaya Ambikile amefariki dunia usiku wa kuamkia leo 

Efm imezungumza na kaka wa marehemu na kuthibitisha hilo kwa kusema Yp alikuwa anasumbuliwa na kifua..

EFM inawapa pole wanafamilia na wapenzi wa msanii huyu alieitumikia sanaa ya muziki wa kizazi kipya, Bongo fleva katika kipindi cha uhai wake

YP2

YP kulia akiwa na Dogo Aslay na Stico enzi za uhai wake

 

 

 

 

 

 

 

 

YP3

YP nyuma akiwa na Y-Dash

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Comments are closed.