MTOTO AFANYIWA UKATILI WA KUTISHA RORYA

MTOTO AFANYIWA UKATILI WA KUTISHA RORYA

Like
508
0
Monday, 17 August 2015
Local News

MTOTO wa kiume mwenye umri wa miezi saba amekatwa sehemu zake za siri na bibi yake wa kambo.

 

Inaelezwa kuwa Mtoto huyo amefanyiwa ukatili huo nyumbani kwao Nyamaguku wilayani rorya wakati mama yake akiwa ameenda kutafuta kuni na tayari amepelekwa katika Hospital ya Bugando Mkoani Mwanza kwa ajili ya matibabu.

 

Mama wa mtoto huyo Rehema Marwa amesema wakati tukio hilo linatokea hakuwepo nyumbani, aliporejea ndipo alipopata taarifa kuwa mtoto wake amekatwa sehemu za siri.

Comments are closed.