MTOTO MCHANGA ATOLEWA KWENYE VIFUSI NAIROBI

MTOTO MCHANGA ATOLEWA KWENYE VIFUSI NAIROBI

Like
352
0
Tuesday, 03 May 2016
Global News

MTOTO mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu amepatikana akiwa hai kwenye vifusi vya jengo lililoporomoka siku ya Ijumaa jijini Nairobi nchini Kenya.

Jengo hilo la ghorofa sita liliporomoka katika mtaa wa Huruma baada ya mvua kubwa kunyesha.

Akizungumzia hali ya afya ya mtoto huyo, Kamanda wa kitengo cha taifa cha kudhibiti majanga Pius Maasai amesema kuwa hali ya mtoto huyo inaendelea kuimalika tangu alipofikishwa hospitalini jana.

Comments are closed.