MUIGIZAJI WA EMPIRE AWEKA HADHARANI ALIWAHI KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA

MUIGIZAJI WA EMPIRE AWEKA HADHARANI ALIWAHI KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA

Like
297
0
Tuesday, 18 August 2015
Entertanment

Muigizaji maarufu duniani Terrence Howard amesema amebadilika saana baada ya kutarakiana na aliyekuwa mpenzi wake Michelle Ghent.

 

Terrence ambae kwa sasa anatamba na series ya Empire amesema alipokuwa pamoja na Michelle kwenye mahusiano amejikuta akiingia kwenye matumizi ya dawa za kulevya ikiwa pamoja na uvutaji wa bangi na cocaine.

 

Terrence amesema kuwa yeye na Michelle wamekuwa wakitumia aina hizo za dawa za kulevya na kutazama sinema za pono.

 

Muigizaji huyu amesema amebadilika baada ya kuachana na mpenzi wake huyo kwa hatumii dawa za kulevya wala kutazama sinema za pono.

 

Kwa sasa Terrence na Michelle wapo kwenye mgogoro kufuatia madai ya mschana huyu kutaka kulipwa kiasi cha dola 5,800 kwa mwezi baada ya kuona mafanikio ya muigizaji huyu.

 

Terrence anaingia kwenye wakati mgumu zaidi kufuatia vitisho anavyopewa ikiwa ni pamoja na kuvujishwa kwa mikanda pamoja na picha za ngono zilizowahi kurekodiwa wakati wa mahusiano yao

 

Comments are closed.