MUZIKI MNENE BAR KWA BAR 2015: E-FM YAILAZA KIBAHA VETERANS 2-1

MUZIKI MNENE BAR KWA BAR 2015: E-FM YAILAZA KIBAHA VETERANS 2-1

Like
546
0
Saturday, 26 September 2015
Entertanment

Muziki mnene bar kwa bar KIBAHA KONTENA burudani imefunguliwa na mechi ya mpira wa miguu kati ya E-fm Vs Kibaha Veterans

Mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa TAMCO ulimzlizika kwa E-fm kuibuka na ushindi wa magoli 2 kwa 1.

Kibaha Veterans ndio walikuwa wa kwanza kuziona nyavu za Efm lakini goli hilo halikudumu kwani E-fm walifanikiwa kusawazisha goli hilo kupitia mpira wa adhabu na kufanya matokeo kuwa 1-1 hadi kipindi cha kwanza kumalizika

Katika kipindi cha pili E-fm walirudi kwa nguvu na kuongeza bao la pili, goli lililoiweka mbele E-fm hadi mwisho wa mchezo huo.

DU7C9593

DU7C9594

 

PICHA YA PAMOJA YA KIKOSI CHA E-FM

DU7C9596

KIBAHA VETERANS KATIKA PICHA YA PAMOJA

DU7C9615

 

E-FM NA KIBAHA VETERANS KWENYE PICHA YA PAMOJA

DU7C9618

WAAMUZI WA WA MECHI

DU7C9632

DU7C9664

 

DU7C9665

DU7C9668

 

 

DU7C9671

DU7C9673

DU7C9675

DU7C9679

DU7C9684

DU7C9687

DU7C9694

DU7C9694sd

Comments are closed.