MUZIKI MNENE NDANI YA KISARAWE

MUZIKI MNENE NDANI YA KISARAWE

Like
367
0
Monday, 21 September 2015
Entertanment

Wakazi wa kisarawe walipata burudani ya aina yake, jumamosi ya juzi tarehe

19 mwezi huu kutoka redio ya 93.7 EFM kupitia kampeni ya muziki mnene.

Burudani hiyo ilianza na mpira wa miguu kati ya EFM na buffalo kisarawe,

ambapo timu ya Buffalo ilitetea ushindi nyumbani kwa kuifunga EFM magoli

mawili huku EFM ikiambulia sifuri.

DU7C8649

DU7C8651(1)\

DU7C8683
Baada ya mechi hiyo burudani ya aina yake iliendelea ndani ya Tausi bar, huku

Rdj’s na watangazaji wa EFM wakishikilia usukani wa burudani hivo

kuwapagawisha wakazi wa kisarawe.

DU7C9348

DU7C9341

DU7C9103

DU7C9100

DU7C8998

93.7 EFM tutaendelea kutoa burudani hii ya muziki mnene na kuwafikia

wasikilizaji wetu wote, hivo wakae mkao wa kula.

Comments are closed.