Mzee Yahaya Akilimali Atangaza nia ya Kuwania Uwenyekiti wa Klabu ya Yanga sc

Mzee Yahaya Akilimali Atangaza nia ya Kuwania Uwenyekiti wa Klabu ya Yanga sc

Like
519
0
Thursday, 31 May 2018
Sports

Mzee Yahaya Akilimali leo asubuhi kupitia kwenye kipindi cha Sport HQ kinachorushwa na Efm Redio ametanganza nia ya kugombea Uwenyekiti wa Timu ya Yanga mwaka huu

Amesema hayo baada yeye mwenyewe kukili kwamba ndani ya klabu ya Yanga kuna matatizo hivyo yeye ndio mtu sahii kuinusuru Yanga sc kwa sasa.

Alienda mbali Zaidi na kusema ukiona Mbwa anabweka ujue mwenye Mbwa yupo jirani na huyo Mbwa.

Wengi wanbeza kauli yake anaonekana ni kama mtu ambaye yeye anatumwa na watu kuweza kuivurunga Yanga

Kwani aliulizwa swali na Matangazaji Maulid Kitenge kwanini wakati Yanga inadaiwa na wachezaji hakuweza kusaidia kulipa madeni. Hakuweza kujibu alibaki anacheka na kukata simu

wewe una Maoni gani kuhusiana na hili?

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *