NDEGE YA KIVITA YA MAREKANI YAKIHUJUMU KITUO CHA AL SHABAB

NDEGE YA KIVITA YA MAREKANI YAKIHUJUMU KITUO CHA AL SHABAB

Like
373
0
Tuesday, 30 December 2014
Global News

Ndege ya Kivita ya Marekani imekihujumu kituo cha Wanamgambo wa Itikadi kali wa Al Shabab nchini Somalia.

Kwa mujibu wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani mjini Washington, hujuma hizo zimelengwa dhidi ya kiongozi mmoja wa vuguvugu hilo la itikadi kali kusini mwa Somalia.

Comments are closed.