NEC IMEVITAKA VYOMBO VYA HABARI KUTOA TAARIFA SAHIHI KUPITIA TUME HIYO

NEC IMEVITAKA VYOMBO VYA HABARI KUTOA TAARIFA SAHIHI KUPITIA TUME HIYO

Like
259
0
Monday, 19 October 2015
Local News

KUFATIA upotoshawaji wa Taarifa juu ya idadi sahihi ya watu waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura  uliofanywa na baadhi ya vyombo vya habari, Tume ya Taifa ya Uchaguzi Nchini-NEC-imevitaka vyombo hivyo  kupata Taarifa sahihi kupitia tume  kabla ya kutoa taarifa potofu kwa jamii.

 

Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Damian Lubuva kupitia Taarifa maalum kwa vyombo vya habari ambapo amesema baadhi ya vyombo vya habari ikiwemo gazeti la Mawio, vimetoa taarifa kuwa walioandikishwa katika daftari la kudumu ni zaidi ya milioni 27 jambo ambalo sio sahihi.

Comments are closed.