NICK CANNON AWATAJA POPCAAN NA  DEMARCO KAMA WASANII KUTOKA JAMAICA ANAOWAPENDA NA KUSIKILIZA SANA NYIMBO ZAO

NICK CANNON AWATAJA POPCAAN NA DEMARCO KAMA WASANII KUTOKA JAMAICA ANAOWAPENDA NA KUSIKILIZA SANA NYIMBO ZAO

Like
639
0
Tuesday, 16 December 2014
Entertanment

Cannon ambae ni actor, rapper na record producer kutoka nchini Marekani kwa sasa yupo nchini Jamaica kwa ajili ya project yake na Kreesha Turner msanii mwenye asili ya Jamaica alikuwa chini ya label yake ya Ncredible Records mschana huyo akiwa ni mjamaica wa kwanza kuwa chini ya label hiyo

Kreesha Turner yupo Jamaica na meneja wake kwa dhumuni la kuutangaza muziki wake wa dancehall uweze kupenya ndani ya Jamaica ambapo kwenye interview ambayo nick cannon aliifanya na Jamaica Observer aliulizwa kama anafatilia muziki wa Jamaica ndipo alitaja wasanii na nyimbo zao anazozikubali

Cannon alimtaja Popcaan na wimbo wake wa ‘Everything Nice’

popcaan-04014

pia alimtaja Demarco na ngoma ya ‘Puppy tail’.

DEMARCO PROMO6

Cannon aliulizwa pia kuhusu mahusiano yake na Mariah Carrey na kujibu kuwa ni Familia

 

Comments are closed.