NICKI MINAJI NA MEEK MILL WAMWAGANA

NICKI MINAJI NA MEEK MILL WAMWAGANA

Like
286
0
Monday, 01 June 2015
Entertanment

Nicki Minaj amwagana na mpenzi wake rapa Meek na amerudisha pete kubwa ya almas aliyopewa na rapa huyo.

Miezi sita iliyopita baada ya kuyaweka hadharani mahusiano yao mastar hawa kwa sasa wamefikia tamati ya kuwa pamoja katika mahusiano ya kimapenzi.

Chanzo cha karibu na mastar hawa kimeeleza kuwa chanzo cha kuvunjika ni usaliti na kutokubaliana katika baadhi ya mambo ndio chanzo cha kuvunjika kwa mahusiano hayo

Hii si mara ya kwanza kwa wawili hawa kupata matatizo ndani ya mahusiano yao lakini kwa sasa huenda ikawa ndio mwisho wao kwa mujibu wa chanzo hicho kimedai kuwa Nicki Minaji amekuwa akijiona yeye ndie boss na kutaka kuyatawala mahusiano yao tabia hii imekuwa ikijenga sumu katika mapenzi yao kufikia hatua ya kuachana

Katika mitandao ya kijamii wawili hawa wamekuwa wakipost maneno ya wazi yenye kuashiria kuacha kwao

 

Comments are closed.