NIGERIA: 30 WAUAWA KWA MASHAMBULIZI KWENYE VITUO VYA MABASI

NIGERIA: 30 WAUAWA KWA MASHAMBULIZI KWENYE VITUO VYA MABASI

Like
260
0
Wednesday, 25 February 2015
Global News

TAKRIBANI watu 30 wameuawa katika mashambulizi mawili tofauti katika vituo vya mabasi kaskazini mwa Nigeria.

Katika mashambulizi ya kwanza, mshambuliaji wa kujitoa muhanga alikimbia basi lililosheheni abiria katika mji wa Potiskum, ambapo alijiripua na kuwauwa watu 16 pamoja naye.

Rais Goodluck Jonathan amesema kundi la Boko Haram linahusika na mashambulizi yote mawili. Katika taarifa nyengine, majeshi ya Chad yanayoshiriki vita dhidi ya Boko Haram, yanaripotiwa kuwauwa wanamgambo 207 kwenye mji wa mpakani mwa Nigeria na Cameroon.

NIGERIA2

Comments are closed.