NIYONZIMA, JUUKO WAANZA KAZI SIMBA

NIYONZIMA, JUUKO WAANZA KAZI SIMBA

Like
758
0
Tuesday, 18 September 2018
Global News

Niyonzima

Baada ya kiungo mnyumbulifu wa Simba raia wa Rwanda, Huruna Niyonzima na beki kisiki raia wa Uganda, Juuko Mrushidi kuwa na muda mrefu bila kujumuika na wachezaji wenzao katika mazoezi.

Hatimaye kwa mara ya kwanza leo wamekutana uso kwa uso kwenye Uwanja wa Boko Veterani na kocha wao Patrick Aussems na kuwakaribisha kwenye kikosi hicho tayari kwa mazoezi mazito ya pamoja

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *