RAIS Barack Obama wa Marekani ameanzisha msukumo wa mwisho leo kulishawishi baraza la Congress kulifunga gereza la kijeshi la Guantanamo Bay nchini Cuba.
Rais Obama amelitaka baraza la Congress kulijadili kwa kina pendekezo lake na kuongeza kwamba hataki kuliacha suala hilo kwa mrithi wake mwezi Januari.