OBAMA ATOA MSUKUMO WA MWISHO WA KUFUNGWA KWA GEREZA LA GUANTANAMO BAY

OBAMA ATOA MSUKUMO WA MWISHO WA KUFUNGWA KWA GEREZA LA GUANTANAMO BAY

Like
265
0
Wednesday, 24 February 2016
Global News

RAIS  Barack Obama  wa  Marekani  ameanzisha  msukumo wa  mwisho leo kulishawishi  baraza  la  Congress kulifunga  gereza  la  kijeshi  la Guantanamo Bay nchini Cuba.

Rais Obama  amelitaka  baraza  la  Congress kulijadili  kwa kina  pendekezo  lake na  kuongeza  kwamba  hataki kuliacha  suala  hilo  kwa  mrithi  wake mwezi  Januari.

Comments are closed.