OBAMA KUKUTANA NA MEXICO KUIJADILI CUBA

OBAMA KUKUTANA NA MEXICO KUIJADILI CUBA

Like
256
0
Tuesday, 06 January 2015
Global News

RAIS BARACK OBAMA anakutana na Rais wa MEXICO ENRIQUE PENA NIETO katika Ikulu ya Marekani na akitafuta msaada wa utekelezaji wa mabadiliko ya sera zake kuhusiana na uhamiaji pamoja na Cuba.

Bwana OBAMA anamtaka Bwana PENA NIETO kujiunga naye kuishinikiza Cuba kufanya mageuzi ya Kidemokrasia wakati ambapo Ikulu ya Marekani inachukua hatua za kurejesha Mahusiano ya Kidiplomasia na Kibiashara.

Comments are closed.