Kumekuwepo na hoja nyingi za kumpinga mshindi wa Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu baada ya kukabidhiwa taji hilo.
yote haya yanatokana na umri wake ukilinganishwa na elimu yake
Miss Tanzania wa mwaka 2014 Sitti Abbas Mtemvu anadai ana umri wa miaka 18 na ana elimu ya shahada ya uzamili (Masters).
Wakati baba yake akisema amezaliwa 1989 na mama yake akisema amezaliwa 1985, na uku kamati ya miss tanzania ikisema amezaliwa 1991 hivyo ana miaka 23…
Na kwa upande mwingine hati yake ya kusafiria yani passport inaonyesha amezaliwa 31 May 1989