PAT NEVIN: SIDHANI KAMA MOURINHO ANAWEZA KUTIMULIWA

PAT NEVIN: SIDHANI KAMA MOURINHO ANAWEZA KUTIMULIWA

Like
302
0
Thursday, 17 December 2015
Slider

Uvumi kuhusu hatma ya maisha ya boss wa Chelsea Jose Mourinho huenda ni miongoni mwa mambo yanayojadiliwa zaidi kwenye ulimwengu wa soka kwa sasa.

Chelsea imekuwa ikifanya vibaya kwenye michezo yake hali iliyopelekea hadi Mourinho kutoa kauli ya kuwa anasalitiwa na wachezaji wake.

Akizungumza kuhusu hatma ya boss huyu Pat Nevin mchezaji wa zamani wa klabu hiyo amesema tetesi za kutimuliwa kazi kwa boss huyo si jambo geni na hadhani kama linaweza kutokea

Nevin ameongeza kuwa anakubali kuwa hatma ya boss huyo kwa sasa ipo mashakani ila haoni kama anaweza kutimuliwa, kushusu kauli ya Moorinho kuhisi anasalitiwa Nevin alikuwa na majibu haya

Kama kauli hiyo alitoa kwa dhamira basi angependa kumuuliza boss huyo alimlenga nani zaidi

Comments are closed.