PENZI LA LUPITA NYONG’O NA K’NAAN LAVUNJIKA!!!

PENZI LA LUPITA NYONG’O NA K’NAAN LAVUNJIKA!!!

Like
519
0
Wednesday, 28 January 2015
Entertanment

Kama wewe ni mpenzi wa tasnia ya filamu Afrika na dunia kwa ujumla basi ni wazi utakuwa unamfahamu Muigizaji kutokea Kenya anaefanya Vizuri duniani Lupita Nyong’o

Kupitia Movie hizi 12 Years a Slave,

Star Wars: Episode VII – The Force Awakens,

In My Genes dunia ilipata kumfahamu zaidi na kumuweka kwenye orodha ya wasanii wa Afrika wanaofanya vizuri duiniani.

 

Basi hivi karibuni zilifanyika tuzo za SAG huko Amerika ambapo ndani yake yalitokea matukio ya kuwafanya wengine kutokwa na machozi lakini wengine kuingia kwenye ulimwengu mpya wa mapenzi

jared-leto-lupita-nyongo-handy-sag-awards-ftr

 

Sasa kuna tetesi za kuwa Lupita Nyong’o amemwagana na mpenzi wake Muimbaji K’naan mwenye asili ya Afrika aishie marekani na kutua kwenye penzi la Muigizaji mwenzie Jared Leto.

Taarifa hizi zimekuja mara baada ya wawili hao kuonekana pamoja wakila good time mara baada ya sherehe za tuzo hizo na kupeana kampani ya kutosha

 

 

 

Comments are closed.