PICHA: AKON AKIWA KENYA

PICHA: AKON AKIWA KENYA

Like
431
0
Monday, 30 March 2015
Entertanment

Mkali wa muziki wa pop duniani Akon amewasili nchini Kenya siku ya ijumaa tayari kuhudhuria kwenye kilele cha tamasha la kutafuta vipaji vya muziki la Airtel Trace Music.

Msafara wa Akon unaundwa na timu ya watu mashughuli duniani akiwemo Devyne Stephens pamoja na mkongwe aliegundua wakali kama Jay Z, P Diddy, Alicia Keys, Usher, Mariah Carey, Akon n.k

Tanzania inawakilishwa na Mayunga ambae alishinda kwenye mashindano ya hapa nyumbani nakupata nafasi ya kusonga mbele

akos akon1

ak

Comments are closed.