Picha zote za matukio yote ya Komaaconcert2018 Mwanza yapo hapa
Baadhii ya Wasanii watakao perfom kwenye Stage ya Komaaconcert2018 leo uwanja wa CCM Kirumba wakiwa kwenye picha ya Pamoja amber Lulu , Young D Jay Mo ,Aslay Shilole , Belle9 , Mansuli
Wakazi wa Mwanza waliofika kwenye kiwanja cha Burudani, CCM Kirumba wakishuhudia burudani ya kumtafuta mwenye WOWO
Sehemu Wakazi wa 91.3 Mwanza waliofika kwenye uwanja wa Burudani siku ya leo CCM Kirumba Komaaconcert2018 kwa nguvu ya buku ya Bikotu
Mshindi wa bodaboda kutoka Biko akikabidhiwa bodaboda yake ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba #komaaconcert 2018
RDJ Spur(Kushoto) akiwa na RDJ Autorun wakiwa kwenye Kiwanda cha Burudani kuhakikisha Muziki haukauki kwa Wakazi wa 91.3 Mwanza
Asistance Adminstrator wa Efm Redio na TV E, Sada Nassoro, akiwa kwenye RedCarpert ya #KomaaConcert2018Mwanza
#KomaaConcert2018Mwanza OD (kushoto) @geoffreyn2000 akiyajenga na kiongozi wa ‘technical team’ @francis_nyoike
#HatupoiHatuboi
Timu ya nzima ya ulinzi ya Biko wakiwa eneo la tukio kuhakikisah kila anayeshinda na Biko basi anapewa Zawadi yake.
Eneo ambalo wageni rasmi watakapokaa na kushuhudia burudani itakayotokea ndani ya CCM Kirumba
KomaaConcert 2018
Timu nzima ya TV E ikiwa imejipanga kuweza kurusha kila kitu live kinachotokea kwenye uwanja huu waBurudani CCM Kirumba