PORSCHE YAJIBU TUHUMA ZA MTOTO WA PAUL WAKER

PORSCHE YAJIBU TUHUMA ZA MTOTO WA PAUL WAKER

Like
250
0
Wednesday, 30 September 2015
Entertanment

Kampuni ya magari ya Porsche imezijibu tuhuma za kesi iliyofunguliwa na mtoto wa muigizaji wa Fast & Furious, Paul Walker’ kuwa ajali haikuwa chanzo cha kifo cha baba yake bali ni dosari zilizopo kwenye muundo wa gari hilo

Kwenye mahojiano yaliyofanywa na kituo cha CNN Kampuni hiyo ya Ujerumani imekanusha kuwa gari hiyo aina ya Carrera GT 2005 ilikuwa na dosari katika muundo wake na badala yake wameeleza kuwa sababu iliyopelekea kutokea kwa ajali iliyochukua maisha ya Walker ni kasi ya kupindukia pamoja na kutokuwa na umakini wakati gari hiyo inaendeshwa

Comments are closed.