PUTIN AAGIZA MAJESHI YA URUSI KUONDOKA SYRIA

PUTIN AAGIZA MAJESHI YA URUSI KUONDOKA SYRIA

Like
295
0
Tuesday, 15 March 2016
Global News

RAIS wa Urusi Vladimir Putin ametoa amri kwa wanajeshi wake waliopo Syria kurejea nyumbani haraka kwa sababu tayari wametekeleza asilimia kubwa ya malengo yao.

Tangazo lake hilo limewaacha wachambuzi wengi wakiwa na mshangao kwani hakukuwa na dalili zozote za kuwepo kwa tukio kama hilo.

Aidha Putin ametangaza hilo katika siku ambayo mazungumzo ya amani yameanza upya mjini Geneva Uswisi.

 

Comments are closed.