RAIA WA PALESTINA ASHAMBULIWA ISRAEL

RAIA WA PALESTINA ASHAMBULIWA ISRAEL

Like
210
0
Monday, 12 October 2015
Global News

POLISI wa Israel wamesema wamempiga risasi na kumuua mwanamume mmoja wa Kiarabu mapema leo aliyejaribu kumchoma kisu afisa mwenzao huko Jerusalem Mashariki.

 

Polisi wamemueleza mshambuliaji huyo wa Kipalestina kuwa ni gaidi lakini hawakutoa maelezo zaidi kuhusu utambulisho wake.

 

Msemaji wa polisi amesema Mpalestina huyo ambaye ni wa 24 kuuawa tangu mwanzoni mwa mwezi huu, alimshambulia afisa wa Israel aliyejaribu kumpekua.

Comments are closed.