RAIS KIKWETE AFANYA UTENGUZI KUFUATIA SAKATA LA ESCROW

RAIS KIKWETE AFANYA UTENGUZI KUFUATIA SAKATA LA ESCROW

Like
323
0
Tuesday, 23 December 2014
Local News

RAIS JAKAYA KIKWETE amesema kufunguliwa kwa Akaunti ya Tegeta ESCROW kusingebadilisha ukweli wa Mmiliki halisi wa Fedha zilizokuwa zinaingizwa kwenye Akaunti hiyo.

Rais KIKWETE ametoa kauli hiyo alipokuwa akilihutubia Taifa kupitia Wazee wa Mkoa wa Dar es salaam jijini Dar es salaam.

Amebainisha kuwa licha ya nia kuwa njema waliyokuwanayo Wabunge katika kujadili jambo hilo, lakini kuna baadhi ya mambo hawakuwa wameyaelewa vizuri kama ambavyo taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ilivyoeleza sanjari na ushauri uliotolewa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

RAISSSS RAIS2

Rais Kikwete ameitumia nafasi hiyo pia kutengua nafasi ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kutokana na kashfa ya upotevu wa fedha kutoka akaunti ya Tegeta Escrow.

Comments are closed.