RAIS KIKWETE KULIHUTUBIA TAIFA LEO KUPITIA WAZEE

RAIS KIKWETE KULIHUTUBIA TAIFA LEO KUPITIA WAZEE

Like
280
0
Friday, 19 December 2014
Local News

RAIS JAKAYA KIKWETE leo anatarajiwa kuhutubia Taifa kupitia Wazee wa Mkoa wa Dar es salaam.

Katika Mkutano wake huo utakaofanyika katika Ukumbi wa Hotel ya Blue Pearl jijini Dar es salaam, pamoja na mambo mengine pia anatarajiwa kuzungumzia mwelekeo wa Taifa.

Akizungumza na EFM Katibu wa Chama Cha Mapinduzi-CCM ABDALLAH MIHEWA amethibitisha kufanyika kwa mkutano huo.

 

Comments are closed.