RAIS KIKWETE KUWAAGA VIONGOZI NA WATUMISHI WA MAHAKAMA LEO

RAIS KIKWETE KUWAAGA VIONGOZI NA WATUMISHI WA MAHAKAMA LEO

Like
276
0
Thursday, 06 August 2015
Local News

RAIS wa Jamhri ya Muungano wa Tanzania Dokta Jakaya Mrisho Kikwete anawaaga rasmi viongozi na watumishi wa Mahakama leo.

 

Akiwa katika hatua za kumaliza muda wake madarakani, Rais Kikwete pia jana aliwaapisha Majaji 14 akiwamo Jaji mmoja wa Mahakama ya Rufani Tanzania katika sherehe iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam.

 

Rais Kikwete aliwateua majaji hao hivi karibuni katika mwendelezo wake wa kuhakikisha kuwa Muhimili wa Mahakama unakuwa na raslimali watu ya kutosha ili kuendelea kutoa haki kwa haraka na kwa ufanisi zaidi.

Comments are closed.