RAIS MPYA WA MSUMBIJI KUAPISHWA LEO

RAIS MPYA WA MSUMBIJI KUAPISHWA LEO

Like
347
0
Thursday, 15 January 2015
Local News

 

RAIS JAKAYA KIKWETE na mke wake Mama SALMA KIKWETE leo wanaungana na Viongozi wengine kutoka nchi mbalimbali wanaohudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Mpya wa Msumbiji FILIPE NYUSI mjini Maputo Msumbiji.

Bwana NYUSI anachukua hatamu za uongozi kutoka kwa Rais anayemaliza muda wake ARMANDO EMILIO GUEBUZA.

Comments are closed.