RAIS WA ZANZIBAR AFARIJIKA NA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI

RAIS WA ZANZIBAR AFARIJIKA NA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI

Like
246
0
Tuesday, 27 January 2015
Local News

RAIS wa Zanzibar Dokta ALI MOHAMED SHEIN amesema anafarijika kuona utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi wa CCM katika kipindi cha miaka Minne ya uongozi wa Serikali yake umekuwa wa mafanikio licha ya kukabiliwa na changamoto kadhaa.

Amebainisha kuwa historia ya utekelezaji mzuri wa Ilani ya uchaguzi wa CCM ambayo imezingatia malengo ya Mapinduzi ya mwaka 1964 umeendelea kujenga Imani ya Wananchi kwa Chama.

Dokta SHEIN amesema hayo wakati akifungua Kongamano Maalum la Wana-Ccm wa Mikoa ya Pemba na Vijana Wasomi wa Taasisi za Elimu ya Juu ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 38 ya kuzaliwa kwa

CCM.

Comments are closed.