RAIS ZUMA KUKUTANA NA VIONGOZI NA WANAFUNZI KUJADILI MPANGO WA KUPANDISHA ADA

RAIS ZUMA KUKUTANA NA VIONGOZI NA WANAFUNZI KUJADILI MPANGO WA KUPANDISHA ADA

Like
182
0
Thursday, 22 October 2015
Global News

RAIS  wa  Afrika  kusini  Jacob Zuma  amesema atakutana  na  viongozi  wa  wanafunzi  na  maafisa  wa vyuo  vikuu  kesho Ijumaa  kujadili  mpango  wa kupandisha  ada  ambao  umezusha  maandamano ya  wiki nzima  katika  taifa  hilo.

 

Wakosoaji  wanasema  ongezeko   hilo litaleta  athari  kwa wanafunzi Waafrika , ambao  tayari  ni  wachache.

 

Akizungumza leo, rais Zuma hajaweka wazi  juu  ya  maandamano hayo  hapo  kabla ,  na  jana  wanafunzi  walivamia  viwanja vya  bunge  mjini  Cape Town kujaribu  kuvuruga  hotuba ya  bajeti  ya  waziri  wa  fedha  .

Comments are closed.