REMI GARDE KUINOA ASTON VILLA

REMI GARDE KUINOA ASTON VILLA

Like
248
0
Monday, 02 November 2015
Slider

Aston Villa inatarajiwa kumtangaza bosi wa zamani wa Lyon, Remi Garde kama meneja mpya wa klabu hiyo siku ya leo na kuichukua nafasi ya Tim Sherwood.

Mfaransa huyo anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka 3 na nusu

 

Garde 49 inarithi mikoba ya kuingoza klabu hiyo ikiwa mkiani kwa alama 4 katika michezo 10 ya Premier League.

 

Kocha wa Bastia, Reginald Ray anatajwa kuja kuwa mwalimu msaidizi wa klabhu hiyo amabapo walimu hawa wawili wanabeba kibarua katika mchezo na Manchester City siku ya jumapili

Comments are closed.