REPUBLICAN YATISHIA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA OBAMA

REPUBLICAN YATISHIA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA OBAMA

Like
288
0
Friday, 21 November 2014
Global News

RAIS BARACK OBAMA amelihutubia taifa kueleza mageuzi makubwa katika mfumo wa uhamiaji wa Marekani.

Amesema atachukua hatua za kikatiba kutoa ruhusa ya muda kisheria kwa takriban wahamiaji haramu Milioni Tano.

OBAMA amesema nchi hiyo imejengwa kwa uhamiaji na ameshutumu wanachama wa Republican kwa kuzuia mageuzi hayo pia Wanachama hao wametishia kuchukua hatua.

Amebainisha kuwa watakaohalalishwa watalazimika kulipa kodi na wasiwe na rekodi ya uhalifu hata hivyo amesema urejeshwaji makwao kwa watu wenye makosa utaharakishwa.

 

Comments are closed.