Saudi Arabia yakataa kupokea vitisho vya kisiasa na kiuchumi

Saudi Arabia yakataa kupokea vitisho vya kisiasa na kiuchumi

Like
1139
0
Sunday, 14 October 2018
Global News

Saudi Arabia imekataa kupokea “vitisho vya kisiasa na kiuchumi” juu ya kupotea kwa mwandishi wa habari Jamal Khashoggi, idara ya habari ya Saudi Arabia imeharifu.

Taifa hilo limeeleza kuwa linaweza kujibu shinikizo lolote kwa kuchukua hatua kubwa zaidi,mmoja wa maafisa wa juu ambaye jina lake alifahamiki alisema.”

Khashoggi, ambaye amekuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya Saudi Arabia alitoweka Oktoba 2 katika mazingira ya kutatanisha baada ya kutembelea ubalozi wa nchi hiyo mjini Istanbul, Uturuki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *