SERGIO AGUERO AUTUMIA MUDA WA MAPUMZIKO NA MESS BARCELONA

SERGIO AGUERO AUTUMIA MUDA WA MAPUMZIKO NA MESS BARCELONA

Like
463
0
Monday, 16 February 2015
Slider

Sergio Aguero na mpenzi wake Karina Tejeda mwishoni mwa wiki hii walipata nafasi yakutembelea Barcelona na kukutana na mchezaji mwenzake wa Argentina Lionel Mess akiwa na rafiki yake Antonella Roccuzzo.

Mshambuliaji huyo wa klabu ya Manchester City Aguero amekuwa akihusishwa nana tetesi za kuhamia Barcelona, hata hivyo vyombo vya habari nchini Hispania vinaamini Messi anamuhitaji Aguero ajiunge na klabu hiyo ili waweze kucheza pamoja.

Baadae Aguero alichukua ndege binafsi kurejea nchini Uingereza tayari kujiandaa na michezo ya Ligi kuu nchini humo kwakuitumikia timu yake ya Manchester City

Wawili hawa wamekuwa karibu kwa kipindi kirefu na kushea vyumba wanapokutana kwenye michuano mikubwa mfano kwenye kombe la dunia mwaka 2014 lililofanyika Brazil

agu2 agu3

Comments are closed.