SERIKALI YA JORDAN YAWANYONGA RAIA WAWILI WA IRAQ

SERIKALI YA JORDAN YAWANYONGA RAIA WAWILI WA IRAQ

Like
323
0
Wednesday, 04 February 2015
Global News

SERIKALI ya Jordan imewanyonga  Wairaq  wawili  kwa  kulipiza  kisasi  kwa kuuliwa   raia  mmoja  wa  nchi  hiyo  na  kundi  la  Dola  la  Kiislamu.

Hatua  hiyo  ya  kunyongwa  imekuja  saa  chache  baada  ya kutolewa  video  inayoonesha  rubani  wa  jeshi  la  Jordan akichomwa  moto  akiwa  hai. Ripoti  za  televisheni  ya  taifa zinasema  rubani  huyo  aliuwawa  kiasi  mwezi  mmoja  uliopita.

Mchambuzi  wa  masuala  ya  mashariki  ya  kati  Randa Habib amesema mauaji  hayo  hayakubaliki  kwa  Muislamu  wa  kawaida.

IRAQ2 IRAQ3

Comments are closed.