SERIKALI YAITAKA KAMPUNI YA KADCO KUIMARISHA ULINZI KIA

SERIKALI YAITAKA KAMPUNI YA KADCO KUIMARISHA ULINZI KIA

Like
343
0
Wednesday, 24 February 2016
Local News

SERIKALI imeitaka kampuni ya KADCO inayoendesha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro-KIA, kuongeza mapato na kuimarisha ulinzi ili kulinda hadhi ya uwanja huo, kuchangia pato la serikali na kudhibiti hujuma dhidi ya watu wasio waaminifu.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amesema hayo wakati akikagua utendaji na mradi wa ujenzi wa njia za kurukia ndege unaondelea katika uwanja huo.

MBALAWA

Comments are closed.