SHAA KUSHEA JUKWAA NA WYCLEF JEAN

SHAA KUSHEA JUKWAA NA WYCLEF JEAN

Like
523
0
Thursday, 06 November 2014
Entertanment

Msanii kutoka Tanzania Shaa kutoka aliyefanya Vizuri kwenye wimbo wa Sugua gaga wimbo uliomfanya afungue ukurasa mpya wa muziki wake kwakujizolea mashabiki zaidi kutoka uswahilini.

Hivi karibuni msanii huyo amekuwa nchini Kenya kikazi ambapo pia amefanya kazi na msanii Red Sun kutoka Kenya na kushoot video ya wimbo ambao hadi sasa umeonyesha ramani nzuri kwake.

Shaa ni miongoni mwa wasanii wachache watakaobahatika kushea jukwaa na msanii wa Kimataifa kutoka Marekani Wyclef Jean ambae mwishoni mwa wiki hii anatarajiwa kuwepo nchini Kenya kwenye fainali za msimu wa Mwisho wa Cocke studio ambapo mbali na Shaa kutoka Tanzania lakini wasanii wengine kutoka Afrika watakaoshiriki ni kama  Rabbit, Navio kutoka Uganda, Chidinma wa Nigeria, na Neyma kutokea Mozambique

wyclll

Comments are closed.