SHIRIKISHO LA WANAFUNZI WA VYUO VYA ELIMU YA JUU LIMEANZA KUFANYA UCHAGUZI

SHIRIKISHO LA WANAFUNZI WA VYUO VYA ELIMU YA JUU LIMEANZA KUFANYA UCHAGUZI

Like
340
0
Thursday, 22 January 2015
Local News

SHIRIKISHO la wanafunzi wa vyuo  vya elimu ya juu limeanza kufanya  uchaguzi  kwa ngazi ya matawi ili kupata viongozi bora wa ngazi hiyo.

Uchaguzi huo utafuatiwa na uchaguzi wa  ngazi za mikoa na Taifa utakao anza  march 24 mpaka april 12 mwaka huu

Katibu mtendaji Mkuu wa shirikisho la wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini kupitia chama cha mapinduzi ccm CHRISTOPHER NGUBIAGI amebainisha kuwa kiongozi bora  ni yule anaye fuata misingi, kanuni na taratibu za kazi sambamba na kupiga  vita vitendo vya rushwa.

Comments are closed.