Siku ya kimataifa ya Wanawake wa Vijijini

Siku ya kimataifa ya Wanawake wa Vijijini

Like
1432
0
Tuesday, 16 October 2018
Global News

Kauli mbiu ya siku hii inasema “Miundombinu endelevu, huduma na ulinzi wa jamii kwa usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake na wasichana wa vijijini.

 

Dunia inaadhimisha siku ya wanawake na wasichana wa vijijini. Kauli mbiu ya siku hii inasema “Miundombinu endelevu, huduma na ulinzi wa jamii kwa usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake na wasichana wa vijijini.

Katibu mkuu wa umoja wa Mataifa Anthonio Guterres kwenye ujumbe wake amesema uwezeshaji kwa wanawake una umuhimu mkubwa katika ujenzi wa dunia yenye amani na ustawi.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *