SIMBA YATANGAZA RASMI KUACHANA NA IVO MAPUNDA

SIMBA YATANGAZA RASMI KUACHANA NA IVO MAPUNDA

Like
215
0
Tuesday, 18 August 2015
Slider

klabu ya soka ya Simba Sc imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango Ivo Mapunda

Akizungumza katika kipindi cha Sports Headquarters Mapunda amesema uongozi wa klabu hiyo umefikia maamuzi hayo huku wakimpa sababu kuu ni kuwa hakuonyesha ushirikiano kuingia katika mkataba mpya na klabu hiyo .

Baada ya maamuzi ya kuachana na mlinda mlango huyu Simba pia imemtaka Ivo mapunda arejeshe kiasi cha pesa alizolipwa na klabu hiyo ambapo Ivo ametangaza dhamira yake pia kurejesha pesa hizo

Comments are closed.