SPIKA WA BUNGE AWATAKA WABUNGE KUACHA USHABIKI WA VYAMA

SPIKA WA BUNGE AWATAKA WABUNGE KUACHA USHABIKI WA VYAMA

Like
257
0
Wednesday, 25 March 2015
Local News

SPIKA wa Bunge wa ANNE MAKINDA,amewataka Wabunge kuwa makini na kuacha ushabiki wa Vyama, wakati wa kuchangia masuala muhimu ya kutunga Sheria.
Amewataka kuwasilisha maombi ya mapendekezo ya kurekebisha sheria kwa kujikita kwenye mambo yenye manufaa kwa Taifa.
Spika ANNE, ameeleza hayo Bungeni,ambapo amesema hayupo tayari kupokea mapendekezo ya Marekebisho ya Muswada yaliyokiuka utaratibu.

Comments are closed.