AJALI

BAD NEWS: Gari la Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla limepata ajali
Local News

BAD NEWS: Gari la Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla limepata ajali Magugu, Manyara na Ofisa wa habari, Hamza Temba amefariki dunia. RPC, Augustino Senga Manyara...

Like
805
0
Saturday, 04 August 2018
BREAKING NEWS: Watu 7 wanaripoatiwa kufariki dunia Mkoani Kigoma
Global News

BREAKING NEWS: Watu 7 wanaripoatiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa Baada Basi la Abiria (PrinceAmida) lililokua likitokea Kigoma kuelekea Tabora kugongana na treni eneo la Gungu Relini Soweto Mkoani Kigoma. Endelea kusikiliza Efm kwa taarifa...

Like
703
0
Wednesday, 06 June 2018
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani amethibitisha
Local News

MAOFISA watatu wa Kituo cha Uwekezaji cha nchini  (Tanzania Investment Center (TIC) wamefariki dunia katika  ajali ya gari usiku wa kuamkia leo maeneo ya Chalinze wakiwa njiani kuelekea jijini Dodoma. Waliofariki ni Saidi Amiri Moshi (Kaimu Mkurugenzi wa Research zamani Corporate Affairs), Zacharia Kingu (Kaimu Mkurugenzi wa Corporate Affairs zamani Investment Promotion) na Martin Masalu (Meneja Research). Waliopata majeraha ni wawili yaani Godfrey Kilolo (Meneja wa Sheria) na dereva wa gari hilo aliyejulikana kwa jina moja tu la Priscus....

Like
802
0
Tuesday, 22 May 2018
AJALI: WATU 3  WAMFARIKI NA  WENGINE 5 WAMEJERUHIWA KWA AJALI YA GARI, BOKO, DAR
Local News

AJALI : Watu 3 wamefariki dunia na wengine 5 wamejeruhiwa katika ajali ambayo imetokea jioni hii eneo la Boko Magengeni Manispaa ya Kinondoni ajali hiyo imehusisha magari matatu ikiwemo gari la kubebea michanga na basi la wanafunzi Mkuu wa Trafiki Wilaya ya Kawe Inspekta msaidizi wa Polisi Makame akizungumza na TV E,/ Efm habari amethibitisha na kusema miili ya Marehemu imepelekwa kuhifadhiwa katika hospitali ya rufaa ya Mwananyamala ambako pia majeruhi wamepelekwa kwa ajili ya matibabu, wengine wamepelekwa hospitali ya...

Like
629
0
Monday, 07 May 2018