arsenal

ARSENAL WAPATA UDHAMINI RWANDA
Sports

RWANDA imeingia mkataba wa miaka mitatu na Arsenal ambapo kwenye mabega ya jezi zao kutakuwa na ujumbe wa ‘Visit Rwanda’. Ujumbe huo ambao unamaanisha tembelea Rwanda, utakuwa kwenye jezi za kikosi cha kwanza pamoja na timu ya vijana na ile ya wanawake ya klabu hiyo. Vinal Venkatesham, ambaye ni Ofisa Mkuu wa Biashara wa Arsenal amesema kwamba ; “Huu ni ubia mzuri ambao utasapoti Rwanda kutangaza utalii wake.” Mkataba huo pia utahusisha kikosi cha Arsenal kutembelea Rwanda na kuweka kambi...

Like
520
0
Wednesday, 23 May 2018
“DEAL DONE”  MZEE WENGER AMKABIDHI RASMI MIKOBA UNAI EMERY
Sports

Unai Emery ametangazwa kuwa meneja mpya wa Arsenal na afisa mkuu mtendaji wa klabu hiyo Ivan Gazidis. Bw Gazidis amesema Emery amepewa fursa ya kipekee ya kuongoza “sura mpya” yaklabu hiyo ya England. Emery, 46, amejiunga na Gunners baada ya kuondoka PSG ambapo aliwaongoza kushinda ligi kuu ya Ufaransa, Ligue 1. Mhispania huyo pia alishinda vikombe vya ligi mara nne akiwa na miamba hao wa Ufaransa. Awali alikuwa meneja wa Sevilla ambapo aliwasaidia kushinda Europa League mara tatu mtawalia. Atamrithi...

Like
522
0
Wednesday, 23 May 2018
Unai Emery Kumrithi  Mzee Wenger , Arsenal
Sports

Mtandao rasmi wa Unai Emery umeweka picha iliyo na ujumbe: “Nasikia fahari kuwa katika familia ya Arsenal.” Meneja huyo wa zamani wa Paris St-Germain manager anatarajiwa kuzinduliwa rasmi kama mrithi wa Arsene Wenger wiki hii. Klabu hiyo ya London bado haijathibitisha kuwa Emery ndiye kocha mpya. Lakini picha ya Emery iliyoambatana na ujumbe huo na nembo ya Arsenal iliwekwa kabla ya muda mfupi badaye kuondolewa. Haijulikani kama picha hiyo iliwekwa kimakosa au ni kazi ya wadukuzi. Mtandao huo www.unai-emery.com –...

Like
590
0
Wednesday, 23 May 2018