arsene wenger

“DEAL DONE”  MZEE WENGER AMKABIDHI RASMI MIKOBA UNAI EMERY
Sports

Unai Emery ametangazwa kuwa meneja mpya wa Arsenal na afisa mkuu mtendaji wa klabu hiyo Ivan Gazidis. Bw Gazidis amesema Emery amepewa fursa ya kipekee ya kuongoza “sura mpya” yaklabu hiyo ya England. Emery, 46, amejiunga na Gunners baada ya kuondoka PSG ambapo aliwaongoza kushinda ligi kuu ya Ufaransa, Ligue 1. Mhispania huyo pia alishinda vikombe vya ligi mara nne akiwa na miamba hao wa Ufaransa. Awali alikuwa meneja wa Sevilla ambapo aliwasaidia kushinda Europa League mara tatu mtawalia. Atamrithi...

Like
522
0
Wednesday, 23 May 2018
WENGER AWATULIZA MASHABIKI WA ARSENAL, AIBABUA AC MILLAN 3-1
Sports

Baada ya Arsenal jana kuitandika AC Millan, kwa mabao 3-, uwenda mashabiki wa Arsenal wanaweza kutuliza mzuka wa kumlazimisha Mzee wenga kung’atuka kwenye timu ya Arsenal. Mabao ya Arsenal yalifungwa na Danny Welbeck ambaye alifunga magoli mawili na goli la tatu lilifungwa na Danny Welbeck huku goli la AC Millan lilifungwa na Hakan Calhanoglu Kwa matokeo hayo inaifanya Arsenal ivuke kwenye hatua nyingine kwa jumla ya magoli 5-1  Ukijumuisha na yale magoli mawili waliyoyapata ugenini. Licha ya Arsenal kutulizwa hasira...

Like
413
0
Friday, 16 March 2018